Katika Vita vya Urusi na Ukraine: Afrika Haipaswi Kumuunga Mkono Yeyote
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine vinaonekana kuigawa Afrika juu ya kuunga mkono upande gani na kwa nini? Viongozi wengi wa Afrika wameamua kutofungamana na upande wowote huku wachache baadhi yao wakionesha wazi pande zao.