Sera na Sheria za Kirasilimali za Kisekula Zinashambulia Kiungo cha Familia
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vyombo vya habari nchini Kenya vimeripoti kwamba Hakimu wa Mahakama Kuu, Teresia Matheka ametangaza kwamba kuwa mke nyumbani lazima izingatiwe kuwa ni kazi kamili yenye kustahili malipo. Hakimu alisema: