Vita dhidi ya Virusi vya Korona Vimezalisha Kirusi Chengine cha Ufisadi na Kuunda Mamilionea wa Covid-19
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maafisa wa upelelezi wa Kenya watapendekeza kushtakiwa kwa maafisa wakuu wasiopungua 15 wa serikali na wafanyibiashara juu ya madai ya matumizi mabaya ya mamilioni ya dolari yaliyokusudiwa kununua vifaa vya matibabu vya Covid-19.