Jumamosi, 19 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa: Kutoka Al-Khalil, Watu wa Palestina Wanaelekeza Wito wa Haraka kwa Umma na Majeshi Yake

Chini ya kauli mbiu (Enyi Umma wa Kiislamu, Nusra Nusra, Tusaidieni kabla Hatujamalizika), Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa Palestina iliandaa kisimamo kikubwa katika mji wa Al-Khalil mnamo Jumanne, 12 Disemba 2023 M, ambapo watu wa Palestina wanaume kwa wanawake, walielekeza wito wa haraka kwa Umma na majeshi yake na nguvu zake zilizo hai kutaharaki kwa haraka kunusuru Gaza na damu ya watoto wake, na kwa Palestina na watu wake na Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Wito wa Dada kutoka Palestina kwenda kwa Majeshi ya Waislamu!”

Waislamu wa Gaza wanakabiliwa na mauaji ya kimbari na umwagaji damu ambao umepitiliza mikononi mwa umbile halifu la Kiyahudi. Maelfu ya wanawake wasio na hatia na watoto wameuawa. Wakati huo huo, Waislamu katika Ukingo wa Magharibi wangali wanauawa na kutishiwa na genge la Mayahudi.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu