Rambirambi za Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir na Wafanyikazi wake wote
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tumepokea habari za kifo cha dada mwema Gamze Gürsoy / Zahra Malik (mwanachama wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari); kwani Mwenyezi Mungu alimchukua asubuhi ya leo, Ijumaa, 09 Shawwal 1447 H, sambamba na 27/03/2026 M.



