- Imepeperushwa katika Makala
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 2 Julai, mamia ya watu walijiunga na mkesha wa Zara Aleena ambaye aliuawa akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake Ilford, London Mashariki.
Pongezi kutoka kwa Wabebaji Ulinganizi Kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd ul-Adha Iliyobarikiwa 1443 H
Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Adha Iliyobarikiwa 1443 H
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya katika lugha tano yenye kichwa:
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Wabebaji Dawah Kote Ulimwenguni kwa Ujio wa Idd ul Fitr Iliyobarikiwa 1443 H
Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Ardhi Tukufu ya Palestina kilifanya amali anuwai, za ana kwa ana na mtandaoni, kukumbuka kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah zenye kichwa, "Ni Wakati sasa wa Kudhihiri Dini yetu na Kunyanyuliwa Bendera ya Mtume wetu".
Mchangio wa Dada Marwa Khasharem, mwanafunzi wa Chuo cha Sheria mjini Sfax, wakati wa kongamano la kisayansi lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi wa Tunisia katika Chuo cha Sheria cha Sfax, chini ya mada "Uislamu wa Kisiasa na Changamoto za Demokrasia".