Mzozo wa Bahari Kati ya Kenya na Somalia: Mzozo wa Kikoloni Kuhifadhi Maslahi ya Mabwana Wamagharibi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mzozo wa eneo katika Bahari ya Hindi kati ya Kenya na Somalia umezidi moto baada ya Nairobi kuamua kukata mahusiano ya kidiplomasia na Mogadishu kwa sababu ya madai kuwa Somalia imepiga mnada maeno ya mafuta yaliyoko katika eneo la mzozo.