Je, Anahutubiwa (Khitwab) Nani katika Aya Hii "Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni"
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Je, hotuba hii inaelekezwa kwa umma pekee, yaani je, Mwenyezi Mungu ataunusuru Umma wakati ambao Uislamu unatabikishwa ndani yake?