Katika Kumbukumbu ya Ukombozi wa Kostantinopoli Hizb ut Tahrir / Amerika Imefanya Kongamano kwa Anwani “Nusra ya Mwenyezi Mungu ipo Karibu”
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni hii ya kiulimwengu kuadhimisha Ukombozi wa Konstantinopoli iliyo zingirwa kuanzia 26 ya Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili hadi 29 Mei 1453 M.