Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir Afrika Mashariki Inatoa Mwito Kabla ya Mwisho… kwa Ummah wa Mafanikio Makubwa Kabisa

Wanachama wa Hizb ut Tahrir Afrika Mashariki, Ijumaa iliyopita, kwa kuingia Ramadhan (2 Ramadhan 1436 H / 19 Juni 2015) walikuwa na wasaa mzuri wa kukutana na wanachama wengine wa Hizb kote ulimwenguni kufikisha ujumbe maalumu kutoka kwa Amiri wa Hizb unaojulikana kama "Mwito Kabla ya Mwisho… kutoka kwa Hizb ut Tahrir"

Soma zaidi...

Mwacheni Huru Naveed Butt Huku akiwa Dhaifu mbele ya Shinikizo Kubwa la Kuachiliwa Huru kwa Naveed Butt, Serikali "Mtekaji nyara" Inageukia Urongo Duni.

Miezi minane baada ya kesi kusikilizwa kwa mara ya mwisho, usikilizaji katika kikao cha Tume ya Uchunguzi juu ya Kupotezwa kwa Nguvu ulifanyika jana, 26 Mei 2015, kuhusu kutekwa nyara kwa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir nchini Pakistan, Naveed Butt, ambaye alitekwa nyara na majambazi wa taasisi mnamo tarehe 11 Mei 2012.

Soma zaidi...

Kampeni Mwacheni Huru Naveed Butt Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan Yatoa Makala ya Naveed Butt: "Jinsi Amerika Ilivyofanikiwa Kuwasha Moto katika Pembe Tofauti Tofauti za Pakistan"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imetoa makala yaliyoandikwa na msemaji wake nchini Pakistan, Naveed Butt, yenye kichwa, "Jinsi Amerika Ilivyofanikiwa Kuwasha Moto Katika Pembe Tofauti Tofauti za Pakistan".

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu