Komesha Utesaji wa Hizb ut Tahrir Mwacheni Huru Naveed Butt, Mtetezi wa Khilafah , Aliyetekwa Nyara mnamo 11 Mei 2012, kwa Ajili ya Kupaza Sauti Yake dhidi ya Madhalimu
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kama sehemu ya mfululizo unaoangazia watu wa Hizb ut Tahrir wanaoteswa na serikali, tunawasilisha kesi ya Naveed Butt.