Kutoka Mgawanyiko hadi Umoja Kongamano la Khilafah 2026
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Amerika ilifanya kwa mafanikio Kongamano lake la kila mwaka la Khilafah kama sehemu ya kampeni ya kimataifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kufutwa kwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab, 1342 H. Kongamano hilo lilitumika kama wito kwa Waislamu kote duniani kutambua na kutimiza wajibu wa kuregesha mfumo kamili wa maisha wa Kiislamu, kama ulivyoamriwa na Mwenyezi Mungu (swt), kupitia kusimamisha tena Khilafah kwa njia ya Mtume wetu Muhammad (saw).



