Maisha Chini ya Urasilimali ni Mateso na Yamekuwa ni Mfano Kamili ya Jahannam Ardhini
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maisha Chini ya Urasilimali ni Mateso na Yamekuwa ni Mfano Kamili ya Jahannam Ardhini
Maisha Chini ya Urasilimali ni Mateso na Yamekuwa ni Mfano Kamili ya Jahannam Ardhini
Alhamisi Tarehe 10, Juni 2021 Waziri wa Fedha Ukur Yattani alisoma bajeti ya mwaka 2021/2021 ya Shilingi trilioni 3.632.
Harakati ya Hizb ut-Tahrir/ Kenya ingependa kutuma salaam zake za dhati kwa Waislamu wa humu nchini na ulimwengu kwa ujumla kwa munasaba wa siku kuu ya Eid ul-Fitri.
Harakati ya Hizb ut-Tahrir Kenya inafuraha kupongeza Waislamu humu nchini na kote duniani kwa ujumla kwa kufikiwa na Mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Amali Zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Kenya wakati wa Kampeni ya Kiulimwengu chini ya Kauli Mbiu: "Katika Kumbukumbu ya Miaka Mia Moja ya Kuvunjwa Khilafah… Isimamisheni Enyi Waislamu!"
Kwa hoja ya ukarabati wa Reli ya Nairobi hadi Kisumu, Shirika la Reli la Kenya lilibomoa msikiti wa Jami’a na majumba ya wakaazi wa eneo la Kibos kwenye Jimbo la Kisumu hali iliowaacha familia nyingi bila makao.
Mfumko wa bei: Tatizo Sugu ndani ya Mfumo Muovu wa Kiuchumi wa Kibepari
Ijumaa tarehe 30 Oktoba 2020,wanaharakati wa Hizb ut-Tahrir/ Kenya walifanya msururu wa maandamano baridi ya kutetea hadhi ya bwana Mtume Muhammad (Rehema na Amani za MwenyeziMungu zimshukie Yeye na Aali zake).
Wakati tunapomshukuru Mwenyezi Mungu (swt) kwa kupungua maambukizi ya Covid -19 humu nchini, wakati huo huo tunasikitishwa na hatua ya serikali ya kufungua vilabu vya vileo huku Madrasa za Kiislamu kutogusiwa kamwe