Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Lebanon

H.  14 Dhu al-Hijjah 1444 Na: H.T.L 1444 / 13
M.  Jumanne, 04 Julai 2023

 Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi

[مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ رِجَالٌ صَدَقُواْ مَا عَاهَدُواْ اللَّهَ عَلَيْهِ فَمِنْهُم مَّن قَضَى نَحْبَهُ
وَمِنْهُم مَّن يَنتَظِرُ وَمَا بَدَّلُواْ تَبْدِيلاً]

“Miongoni mwa Waumini wapo watu walio timiza waliyo ahidiana na Mwenyezi Mungu. Baadhi yao wamekwisha kufa, na baadhi wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo.” [Al-Ahzab 33:23]
(Imetafsiriwa)

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon yamuomboleza, mmoja wa wabebaji da’wah wake ambaye alikuwa zama za Amiri mwanzilishi Sheikh Taqi al-Din al-Nabhani (Rahimahullah)

Hajj Sami Muhammad Faour (Abu Tariq)

Mwenyezi Mungu Mtukufu amrehemu, alidumu katika kuendelea na kazi ya kisiasa na kuhudhuria halaqa ya kila wiki jijini Beirut, hadi janga la maambukizi ya virusi vya korona lilipovamia nchini ambapo lilimfungia nyumbani kwake, Mwenyezi Mungu amrehemu.

Tunamzingatia, na Mwenyezi Mungu Peke Yake Anamtosheleza na wala hatumsifu yeyote kwa Mwenyezi Mungu, miongoni mwa wale ambao wamekuwa wakweli katika kufuata da’wah hii na kufuatilia masuala ya kisiasa kwa kupitia ufahamu wa Hizb ut Tahrir na rai zake.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu amjaalie makaazi katika Jannah yake Pana, amlipe kheri kwa ajili yetu na kwa ajili ya da’wah hii, na amkusanye pamoja na manabii, wakweli, mashahidi, watu wema na hao ndio marafiki wema.

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Lebanon

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Lebanon
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu