Kuchukua Mafunzo Kutoka kwa Shakhsiya za Watumwa Wawili Watukufu: Bilal (ra) na Wahshi (ra)
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Licha ya muda mrefu kupita, baadhi ya hisia na hatma zinafanana, kwa mfano, hatma na hisia za watumwa hawa kutoka zama za Mtume Muhammad (saw) zinafanana na hatma za baadhi ya watu ambao tabia zao zinalingana na utumwa katika uhakika wa leo.



