Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  23 Jumada I 1444 Na: HTS 1444 / 18
M.  Jumamosi, 17 Disemba 2022

 Ndugu Mpendwa,

Assalam Alaikum wa Rahmatullahii wa Barakatuh,

Mwaliko wa Kuhudhuria Kongamano la Kisiasa kwenye Uwanja wa Mapinduzi wa 42
(Imetafsiriwa)

Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan tunafuraha, na ni heshima kwetu uwepo wako mzuri na ushiriki wako wa ukarimu katika kongamano la kisiasa litakalofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan lenye kichwa:

Muundo wa Makubaliano na Changamoto ya Khilafah

Wazungumzaji Jukwaani:

1. Al-Ustadh Nasir Ridha – Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan.

2. Al-Ustadh Wakili Ahmad Bakr – Mjume wa Kamati katika Hizb ut Tahrir Wilayah ya Sudan

3. Al-Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil) – Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan

Tarehe: Ijumaa, 29 Jumada Al-Awwal 1444 H sawia na 23/12/2022 saa 3.35 Alasiri.

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufwatilia katika mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/HTSudan/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Chaneli ya YouTube ya Hizb: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Uwepo wako ni heshima kwetu na utanogesha mkutano huu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu