Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
| H. 10 Rajab 1447 | Na: HTS 1447 / 74 |
| M. Jumanne, 30 Disemba 2025 |
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kikao cha Masuala ya Ummah kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah (Rajab 1342 - Rajab 1447 Hijri)
(Imetafsiriwa)
Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan tunafuraha ya kuwakaribisha wataalamu wa vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wenye hamu na masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha Masuala ya Umma cha kila mwezi, ambacho mwezi huu kitakuwa na kichwa:
Khilafah Ilivunjwa, na Afya ya Watoto Wetu Ikakiukwa
Wazungumzaji katika kikao:
1. Ustadh Muhammad Jami' (Abu Ayman) – Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan
2. Ustadh Ya'qub Ibrahim – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir
Tarehe: Jumamosi, 14 Rajab 1447 H sawia na 3 Januari 2026 M
Wakati: 1:00 PM
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, Port Sudan – Wilaya ya Al-Azma Mashariki mwa Uga wa Port Sudan
Uwepo wenu ni heshima kwetu, ambao unaonyesha kujali kwenu masuala ya Umma.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
| Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |



