Ijumaa, 20 Rajab 1447 | 2026/01/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  4 Rajab 1447 Na: HTS 1447 / 72
M.  Jumatano, 24 Disemba 2025

Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kisiasa
(Imetafsiriwa)

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan inafurahi kuwaalika wataalamu wa vyombo vya habari, wanasiasa, na wote wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki katika kikao kipya cha Kisiasa, ambapo mgeni atakuwa ni Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil) – Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan – chenye kichwa:

Kwa Mnasaba Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah (Ukhalifa):

Kusimamishwa kwake tena ni Faradhi ya Sharia

Kikao kitaongozwa na Ustadh Ibrahim Mushrif, mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan.

Wakati: Jumamosi, 07 Rajab al-Fard 1447 H, sawia na 27/12/2025 M, saa saba kamili adhuhuri, Mwenyezi Mungu akipenda.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, Port Sudan – Mtaa wa Al-‘Azmah – Mashariki mwa Uga.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu