Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Tunisia

H.  10 Dhu al-Hijjah 1443 Na: 1443/30
M.  Jumamosi, 09 Julai 2022

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Pongezi za Idd ul-Adha Iliyobarikiwa
(Imetafsiriwa)

Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar, La Ilaha illa Allah, Allahu Akbar, Allahu Akbar, Wa lillahi Alhamd

Sisi, katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Tunisia, tunapenda kufikisha kwa Ummah mtukufu wa Kiislamu kwa jumla na kwa Waislamu wa Tunisia (Al-Khadra) ardhi ya Zaytouna haswa, na pia kutoka kwa wabebaji Dawah, wanachama wa Hizb ut Tahrir wanaume na wanawake, na kutoka kwa kila mfanyikazi anayejitolea kuikirimu Dini ya Mwenyezi Mungu na kusimamisha sheria zake, maneno mazuri mno ya pongezi na baraka kwa mnasaba wa Idd ul-Adha iliyobarikiwa. Tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) azikubali ibada za Waislamu, na pia tunamuomba awaondolee dhiki Waislamu popote pale, na tunamuomba kwamba Idi ijayo ije huku ikiwa Mwenyezi Mungu ashaubariki Umma wa Kiislamu kwa ushindi, tamkini, usalama na kuishi kwa mujibu wa hukmu za Uislamu ndani ya kivuli cha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, kuchukua nafasi ya utawala wa vibaraka na wanyonge waliouza Dini, ardhi na heshima zao, ambayo ndani yake Uislamu na watu wake ni washindi na ukafiri na watu wake wanafedheheka... Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kujibu (dua).

Mwenyezi Mungu azikubali ibada zenu, Idd Mubarak

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Tunisia

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Tunisia
Address & Website
Tel: 
http://www.ht-tunisia.info/ar/

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu