Mhadhara: Ni nini Maana ya Kuwa Muislamu!?
- Imepeperushwa katika Australia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Muislamu kamili sio yule ambaye anatekeleza kikamilifu suala moja la dini na kuyaacha masuala mengine, bali ni yule ambaye anakamilisha majukumu yake kwa wengine kama vile: wazazi, rafiki, watoto, majirani, mwajiri, jamii na Ummah wao!