Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Wito Uelekezwe kwa Kambi za Kijeshi na Ulinganizi wa Kuwaondoa Madarakani Watawala!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 3 Aprili 2025, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu ilitangaza kwamba “inalaani vikali uvamizi unaoendelea na unaozidi kuongezeka wa Israel.” Shirika hilo linajisifu kama “sauti inayounganisha ulimwengu wa Kiislamu.” Lakini watu wa Gaza hawahitaji “sauti,” bali vitendo kutoka kwa majeshi ya Waislamu.