Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Pakistan: Vibaraka wa Marekani katika Uongozi wa Majeshi ndio Waliomuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Enyi maafisa wa Jeshi la Pakistan! Vibaraka wa Marekani chini ya uongozi wenu ndio waliomuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, rehema na amani zimshukie!