Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 287
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 287
Vichwa Vikuu vya Toleo 287
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia imeitaka idhaa ya Mosaïque FM haki ya kujibu taarifa za mwanahabari Ziyad Kreishan na ambaye amemtaja kila anaye tabanni fikra ya (halali na haramu) kuwa na msimamo mkali na hilo ni kupitia kipindi "Media Show" kwenye matangazo ya idhaa ya Mosaïque FM.
2019 – 2020 umekuwa ni mwaka mwengine wa mateso kwa Ummah wa Kiislamu.
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume Sehemu ya 46
Vichwa Vikuu vya Toleo 286
Hizb ut Tahrir / Wilaya Syria iliandaa kisimamo kwa anwani "Sisi ni Watu wa As-Sham Waumini Kamwe Hatuwakilishwi na Yule Anayekubali Kuweka Mkono Wake Pamoja na mkono wa Muuwaji Putin!" katika makutano ya Deir Ballut mjini Atmaa viungani mwa Idlib.
Mnamo tarehe 11 Mei 2020 M, ilisadifu kuwa ni kumbukumbu ya nane ya kutekwa nyara Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, ukamataji wake ulitimia katika korokoro za siri za ukandamizaji za vyombo vya usalama.
Wilaya Tunisia: Kisimamo katika Mji Mkuu wa Tunisia Kukemea Kufungwa kwa Misikiti!
Vichwa Vikuu vya Toleo 285
Kuhusiana na janga la ugonjwa wa virusi vya Korona nchini Pakistan, kutakuwepo na matangazo maalum inshaaAllah mnamo Jumamosi 16 Mei 2020 saa 10:30 usiku (PST)