- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Wilayah Uturuki: Mkutano wa Waandishi wa Habari "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!"
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa mkutano na waandishi wa habari kwa anwani "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!" Ndugu waliohadhiri ni; Ustadh Hakki Eran, Ustadh Mehmet Hanafi Yagmur, Ustadh Musa Beyoglu, Ustadh Suleyman Ugurlu, Ustadh Mahmud Kar, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Uturuki, ambapo walibainisha katika nukta kumi suluhisho sahihi la Kiislamu kwa mzozo wa kiuchumi unaoikumba Uturuki.
Kwa maelezo zaidi Bonyeza Hapa
Jumatano, 02 Jumada Al-Akhir 1443 H sawia na 05 Januari 2022 M
- Video Kamili ya Mkutano wa Waandishi wa Habari -
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/2078.html#sigProId358758315e
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki