Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 281
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 281
Vichwa Vikuu vya Toleo 281
Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria imeandaa maandamano katika barabara ya Atmaa mbele ya Hospitali ya Al Hadaya, viungani mwa Idlib, "Ni vipi kuhusu Kuanguka kwa Serikali Hii?"
Chini ya muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Rashtah, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Hizb ut Tahrir ilizindua kampeni pana ya kiulimwengu ya kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka Khilafah.
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 45 - Khilafah Rashida kwa njia ya Utume
Tangazo la Beijing na Uingizaji wa Siasa Katika Masuala ya Wanawake
Wilayah ya Syria: Kisimamo cha Kupinga Mjini Atmaa, "Je Matarajio ya Watu Yamekwisha na Tukasahau Kuing'oa Serikali na Kuhukumu kwa Uislamu!"
Vichwa Vikuu vya Toleo 280
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki itaandaa kongamano la kuhitimisha amali za kampeni pana "Uislamu Unalinda Familia. Vizazi na Mujtamaa!"
Chini ya muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah.
Virusi vya korona (Covid-19) vimeenea ulimwenguni mashariki na magharibi, vimesimamisha mambo ya kimaisha ya kila siku, na watu wenyewe wametii kujifungia ndani majumbani mwao kwa hofu ya maambukizi