Vipaumbele vya Amerika
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uchaguzi wa uraisi wa Amerika umeonyesha mgawanyiko mkubwa nchini Amerika na kile ambacho raisi wa Amerika Donald Trump kwa muda mrefu akicheza nacho.
Uchaguzi wa uraisi wa Amerika umeonyesha mgawanyiko mkubwa nchini Amerika na kile ambacho raisi wa Amerika Donald Trump kwa muda mrefu akicheza nacho.
Kashfa dhidi ya matukufu ya Uislamu imekuwa ni jambo la kuendelea kwa Makafiri kuonyesha ghadhabu na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Nilikutana na Naveed Butt kwa mara ya kwanza mnamo 2000, na mara moja nikatekwa na ukweli, ushujaa na mvuto wake.
Bw. Macron! Umesema kuwa unataka kuanzisha vita vya kifikra dhidi ya Uislamu kwa maadili yako ya kisekula na njia ya maisha ya kiliberali.
Naveed Butt ni sura halisi ya uongozi katika dola ya Khilafah ijayo.
“Tarajio Lililosubiriwa Limekwisha Huku Biden Akishinda nchini Amerika Iliyogawanyika Vibaya.
Athari za ukoloni na ukoloni mamboleo kwenye mfumo wa elimu katika nchi za Waislamu zimekuwa wazi kwa Umma wa Kiislamu.
Tunachokishuhudia nchini Ufaransa ni mgongano wa hadhara.
Maadhimisho ya mwaka wa kwanza ya India kubatilisha Kifungu cha 370 na 35A na kuongeza ukandamizaji wa Waislamu wa Kashmir yamepita kwa maneno matupu ya kawaida ya uongozi wa kiraia na kijeshi.
Kufanya makubaliano ya amani na umbile la Kiyahudi imekuwa ni jambo linalojadiliwa kwa muda mrefu na Ummah tokea kuanzishwa kwake.