Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Kongamano la Kiuchumi Mjini Tatvan Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika kituo cha kitamaduni mjini Tatvan, katika jimbo la Bitlis, lililopewa kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!" Sambamba na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.