Kuizuia Bidhaa (kama Rehani) kwa Bei Yake
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ningependa kuulizia kuhusu aina hii ya ununuzi ufuatao: “Kununua gari kwa sehemu ya bei yake, malipo yaliyobakia kufanywa kwa hundi za kibinafsi, lakini muuzaji hukataa kulipeana gari hilo isipokuwa baada ya kupokea malipo ya hundi ya mwisho.”