Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 433
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika wilaya na mikoa mbali mbali ya nchi ili kujenga rai jumla yenye ufahamu juu ya hukmu za Uislamu na suluhu zake zinazohusiana na mifumo mbali mbali ya maisha, ambazo zimeshughulikia mgogoro ya utawala na mipango inayopendekezwa kuutatua, na maafa ya mafuriko na mvua zilizonyesha katika mikoa mbalimbali nchini...
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 59 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Utawala katili wa China unaendelea na mauaji na ukatili katika eneo la Turkestan Mashariki ambayo iliikalia kimabavu kwa miongo kadhaa bila ya kupungua, ambapo dola ya China, ambayo imewafungia mamilioni ya Waislamu wa Uyghur katika kambi za uzuizi kwa jina la (utoaji elimu), inatumia mateso kama silaha ya kutaka kuwaondoa Waislamu wa Turkestan Mashariki kutoka kwenye kitambulisho chao cha Kiislamu kwa kushajiishwa na watawala walio kimya katika nchi za Kiislamu
Minbar ya Ummah: Maandamano katika Mji wa Areha Yakitaka Mtoto Wake Ibrahim Hajj Ali Aachiliwe huru!!
Ardhi zetu ni tajiri, lakini tunakufa njaa, kwani Demokrasia inatufunga minyororo kwa IMF, kwa kuongeza ushuru, malipo ya riba, deni na mfumko wa bei.
Mnamo tarehe 25 Agosti 2022, Tume iliyoteuliwa na serikali ya Denmark ilipendekeza kupigwa marufuku kwa wasichana wanaovaa Hijab katika shule za msingi nchini humo.
Kwa imani na kujisalimisha kwa qadhaa ya Mwenyezi Mungu (swt), Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Jordan inaomboleza kwa Waislamu kwa jumla, na watu wa Jordan haswa, na kwa Amir wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, mmoja wa mashababu wake wanyofu, wavumilivu, na mashuhuri, na mwenye misimamo thabiti inayomridhisha Mwenyezi Mungu na Mtume wake (saw), na wala hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu:
Wakati wa mgogoro wa sasa wa kisiasa, ni wajibu wa Kiislamu kwa majeshi ya Pakistan kutoa Nusrah, kwa ajili ya kusimamisha Dola ya Kiislamu mara moja.
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya Bunge la Denmark