Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 431
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu na fadhila zake, Waislamu wa Gaziantep walikusanyika katika uwanja huo, wakiitikia wito wa Hizb ut Tahrir,
Video inayowalingania Waislamu kutoka madhehebu na makabila yote, wake kwa waume, vijana kwa wazee, kufanya kazi pamoja na Hizb ut Tahrir kwa ajili ya kusimamisha tena Khilafah.
Sera za Uzayuni na Hindutva zinazoendeshwa na chuki dhidi ya Umma wa Kiislamu zinaendelea bila kusitishwa huku wale wanaojiita walinda amani wa dunia wakiwa ni washirika wao wa kimya kimya.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Souran viungani mwa Aleppo Kaskazini kukemea mapigano ya makundi.
Katika muendelezo wa amali za hadhara zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika maeneo tofauti tofauti ya nchi, ili kuuamsha Umma wa Kiislamu kupitia kuunda rai jumla inayofahamu masuluhisho ya Uislamu, yanayoshughulikia mpango wa mfumo wa pande tatu wa mazungumzo ya kutatua mgogoro wa utawala nchini, migomo ya wafanyakazi na masuala mengine.
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa kisimamo katika nyua za Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kwa ajili ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na kuyahamasisha majeshi ya Waislamu kuwang’oa watawala wasaliti na kusimamisha dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume,
Ewe Mwenyezi Mungu turudishie ngao yetu, Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume… Ewe Mwenyezi Mungu, Amin.
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia inawasilisha kwenu barua hii ya wazi, ikiweka mikononi mwenu msimamo wa kisiasa na wa vyombo vya habari katika kuhakikisha kuwepo kwa idara ya mahakama iliyo huru na ufisadi na ubaguzi, yenye kulinda haki za watu na kuwa thabiti katika kuwahisabu watawala.