- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Kisimamo cha Kulaani katika Mji wa Gaziantep Kuwazuia Mashoga Kuandaa Shughuli Zao!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki ilitoa wito kwa Waislamu wenye ghera na dini yao kukusanyika katika uwanja wa Yeşilsu ili kuwazuia mashoga wanaojipa lakabu ya (LGBT) kuandaa shughuli ambayo hapo awali walitangaza nia yao ya kuandaa na kutoa kalima wakati huo huo katika uwanja huo huo.
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu na fadhila zake, Waislamu wa Gaziantep walikusanyika katika uwanja huo, wakiitikia wito wa Hizb ut Tahrir, na Ustadh Zinil Ak Demir akatoa kalima ambapo aliwataka kushirikiana na kusimama kama mwili mmoja dhidi ya kundi hili linataka kuleta ufisadi katika ardhi. Kwa shukrani na fadhila za Mwenyezi Mungu, watu wenye ghera miongoni mwa watoto wa Gaziantep waliweza kuwazuia mashoga kuandaa shughuli zao, na baada ya kuhakikisha kwamba walikuwa wamefikia lengo lao, umati ukatawanyika, huku ukipiga takbira na kumtukuza Mwenyezi Mungu (swt).
Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa
Jumapili, 27 Dhul-Qa’adah 1443 H sawia na 26 Juni 2022 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/2397.html#sigProId7611f89089
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki