Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 56 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ili Kutazama Sehemu za Miezi Iliyopita Bonyeza Hapa
Ili Kutazama Sehemu za Miezi Iliyopita Bonyeza Hapa
Msemaji wa Chama cha Bharatiya Janata cha India (BJP), Nupur Sharma alitoa matamshi ya matusi kuhusu Uislamu na juu ya Mtume (saw) na mkewe (ra) wakati wa mjadala wa televisheni. Baadaye mkuu wa idara ya habari ya Delhi, Naveen Kumar Jindal alichapisha tweet ya matusi kuhusu Mtume (saw).
Hivi majuzi, serikali ya Narendra Modi ilijikuta matatani baada ya baadhi ya wanachama wake kutoa matamshi ya dharau dhidi ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw). Katika nia ya kujinasua kutoka kwa ghadhabu inayozidi kuongezeka katika ulimwengu wa Kiislamu, Modi alichukua hatua haraka kuwasimamisha kazi maafisa wa BJP wenye hatia lakini hii haikusaidia kuzuia kashfa dhidi ya serikali yake.
Msururu wa kufuru umeenea kutoka Denmark na Ufaransa, hadi sehemu nyingine za Ulaya na kisha Marekani. Sasa imeenea hata kwa washirikina Mabaniani duni.
Mnamo 1540 M, mtawala wa Kiislamu, Sher Shah Suri, alichapisha Rupiya ya fedha, yenye uzani wa 178 Troy grains, ambao ni gramu 11.5.
Dola ya Kibaniani imeishambulia wazi wazi heshima ya Mtume ﷺ, huku ikiyasaidia makundi yake yenye silaha kuvunja misikiti na kuwachinja Waislamu.
Sheria mpya imepitishwa nchini Uswidi kuhusu "mateso yaliyosimama juu ya heshima," maelezo haya ya picha yanabainisha maana haswa ya "mateso yaliyosimama juu ya heshima".
Katika kesi kuhusiana na Kongamano la Khilafah, lililopangwa kufanyika mnamo Machi 5, 2017 jijini Istanbul lakini halikufanyika kutokana na kukataa kwa idara ya raia, Mahakama ya Rufaa ilikataa pingamizi ya uamuzi wa adhabu wa mahakama ya eneo bila kutoa sababu yoyote.
Uchumi wa Pakistan unadorora kutokana na biashara ya kimataifa kuegemezwa juu ya na dolari, deni lenye riba na uagizaji ghali wa mafuta na mashini kutoka nje ya nchi.