Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari: Kongamano la Hitimishi la Kiulimwengu kwa Amali za Kampeni ya Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah 1442 H – 2021 M

Katika mwezi wa Rajab al-Muharram wa mwaka huu 1442 H - 2021 M na Kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya karne moja ya wahalifu kuivunja dola ya Uislamu mnamo 28 Rajab al-Muharram 1342 Hijria sawia na tarehe 03/03/1924 M ambayo ili simamishwa na Bwana wa mitume wote Muhammad (saw), na kukomesha mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) ulionawirisha pembe za dunia kwa karne 13 zilizopita, na chini ya uongozi wa amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir aliandaa amali kubwa za umma katika nchi zote ambazo inafanya kazi ndani yake chini ya kauli mbiu:

"Katika Kumbukumbu Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ... Isimamisheni, Enyi Waislamu."

Ikaihitimisha kwa kongamano hili la kiulimwengu ambalo lilihudhuriwa kikundi cha mashababu wa Hizb kutoka Malaysia Mashariki hadi Uingereza Magharibi, ambao waliakisi dori yao kwa mwelekeo Umma na hitaji lake la haraka la kurudisha nguvu zake zilizoporwa na kurudisha ubwana kwa Sheria, ili kutekeleza sheria ya Mwenyezi Mungu (swt) katika ardhi yake, kupitia mfumo wa Utawala wa Kiislamu (Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume).

Jumamosi 29, Rajab Al-Muharram 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

- Ripoti ya Video ya Kongamano Hitimishi la Kiulimwengu la Kampeni ya Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah -

- Matangazo ya Moja ya Kongamano Hitimishi la Kiulimwengu kwa Amali za Kampeni ya Kumbukumbu ya Karne Moja -

Jumamosi 13/03/2021

Saa Mbili Usiku kwa Saa za Madina Al-Munawwara

- Video Kamili ya Amali za Kongamano Hitimishi la Kiulimwengu -

Link za Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano kwa Lugha za Maeneo Tofauti Tofauti

Link Kuu:
https://youtu.be/RxNvwIeIEjM

Lugha ya Kiarabu - Tafsiri ya Mubashara
https://youtu.be/4WdOCgN3R0k

Lugha ya Kiingereza - Tafsiri ya Mubashara
https://youtu.be/n7QpP-3Pdro

Lugha ya Kituruki - Tafsiri ya Mubashara
https://youtu.be/rtYbaD-_Pcw

Lugha ya Kiurdu - Tafsiri ya Mubashara
https://youtu.be/6I3pqN9lytE

Link ya Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano kutoka Indonesia

https://webinarclass.id/rajab-global-conferenceFokus

Link ya Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano kutoka Uturuki

https://www.facebook.com/degisimtv.kd/posts/5088280737911583

https://youtu.be/X7rciiEKJfkFacebookhttps://www.facebook.com

Link ya Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano kutoka Malaysia

https://www.youtube.com/watch?v=wyt84uNGmws

Link ya Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano kwa Kirusi
https://www.facebook.com/alwaqiyah.tv.ru/posts/3689100124540515

Link ya Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano kwa Kirusi Kupitia YouTube

https://www.youtube.com/watch?v=PgKO6boDzZs&feature=youtu.be

Link ya Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano kwa Kiswahili

https://web.facebook.com/HtTanzaniaa

Kongamano lilifanyika Maghrib ya siku ya Jumamosi, Rajab 29 Muharram 1442, sawia na 13 Machi 2021 M, saa mbili usiku kwa saa za Madina Al-Munawwara, saa moja usiku kwa saa za Bait ul-Maqdis (Al-Quds Al-Sharif) .

 Link ya Kongamano kutoka wavuti wa Al-Waqiyah TV: waqeyeh
 Link ya Kongamano kutoka ukurasa wa Facebook wa Al-Waqiyah TV: facebook
 Link ya Kongamano kutoka chaneli ya YouTube ya Al-Waqiyah TV: ytube

- Ili Kufuatilia Kongamano kupitia Lugha Nyenginezo -

Kalima ya Amiri wa Hizb ut Tahrir Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Rashtah

Kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah Mwaka 1342 H – 1924 M

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

- Kalima za Kongamano la Kiulimwengu -

- Video Zilizoonyeshwa katika Kongamano Hitimishi la Kiulimwengu -

- Sehemu ya Amali za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah katika Wilayah ya Afghanistan

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

- Sehemu ya Amali za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah katika Mji wa Kabul -

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

- Video Hitimishi ya Silsila ya Miji 100 Inatamka Neno Lake! -

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

- Al-Waqiyah TV: Wazo "Sura Fupi ya Khilafah" -

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Karne moja ya kuvunjwa dola ya Uislamu (Khilafah) 1342 H -1442 H

Alhamisi, 20 Rajab 1442 H sawia na 04 Machi 2021 M

- Al-Waqiyah TV: Imam ni Ngao "Baina ya Zamani na Matumaini ya Siku Zijazo!" -

Katika kumbukumbu ya miaka 100 ya kuvunjwa Khilafah twasema: #Isimamisheni_Enyi_Waislamu

Ijumaa, 21 Rajab 1442 H sawia na 05 Machi 2021 M

- Al-Waqiyah TV: Wazo"Miaka Mia!" -

Wazo lililoandikwa na kutolewa na mtoto Ibrahim Al-Qaisi kutoka Bait ul-Maqdis ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb ut-Tahrir kwa mnasaba wa karne moja ya kuvunjwa Dola ya Uislamu (Khilafah) 1342 H - 1442 H.

Jumapili, 16 Rajab 1442 H sawia na 28 Februari 2021 M

- Video za Ualishi wa Kongamano kwa Waliohudhuria katika Kongamano la Kiulimwengu -

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" -

Na Mhandishi Salah ad-Din Adada (Abu Muhammad)

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Jumatatu, 17 Rajab 1442 H sawia na 01 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" -

Na Mwadhama Sheikh Said Ridhwan (Abu Imad)

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Jordan

Jumamosi, 22 Rajab 1442 H sawia na 06 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Mhandishi Usama Thuwayni

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Kuwait

Jumapili, 23 Rajab 1442 H sawia na 07 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Sheikh Adnan Mezyan

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon

Jumatatu, 24 Rajab 1442 H sawia na 08 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Dkt Nazreen Nawaz

Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Jumatatu, 24 Rajab 1442 H sawia na 08 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Dkt Jamal Harwoud

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Mwadhama Sheikh Yusuf Mukhazra (Abu Hamam)

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Dkt Muhammad Akmal

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan

Jumatano, 26 Rajab 1442 H sawia na 10 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Sheikh Naser Ridha

Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan

Jumatano, 26 Rajab 1442 H sawia na 10 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Ustadh Mahmoud Kar

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki

Alhamisi, 27 Rajab 1442 H sawia na 11 Machi 2021 M

- Ualishi wa kufuatilia amali za kampeni ya kiulimwengu "Isimamisheni, Enyi Waislamu" –

Na Ustadh Abdulhakim Uthman

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir Malaysia

Alhamisi, 27 Rajab 1442 H sawia na 11 Machi 2021 M

Al-Waqiyah TV: "Kwa Nini Khilafah!"

Na mshairi Abdul Mu'min Al-Zailai - Wilayah ya Yemen

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa Dola ya Uislamu (Khilafah) 1342 H - 1442 H

Jumamosi, 29 Rajab Muharram 1442 H - 13 Machi 2021 M

Al-Waqiyah TV: Shairi "Habari Zinazo Chipuza!"

Na mshairi Omar Hammad - Bait ul-Maqdis

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa Dola ya Uislamu (Khilafah) 1342 H - 1442 H

Jumamosi, 29 Rajab Muharram 1442 H - 13 Machi 2021 M

Al-Waqiyah TV: Wazo "Ni Miaka Mingapi Imepita Kwetu!"

Wazo la Mwanamke Miongoni mwa Wanawake wa Wilayah ya Tunisia

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa Dola ya Uislamu (Khilafah) 1342 H - 1442 H

Jumamosi, 29 Rajab Muharram 1442 H - 13 Machi 2021 M

- Wito wa Kiulimwengu: Kutoka kwa Vijana wa Kiislamu wa Kulingania Khilafah! -

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

- Alama Ishara za Kongamano la Kiulimwengu -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu