Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Kampeni ya Kitengo cha Wanawake “Usekula Unawahadaa Watoto Wetu na Wokovu wao uko Mikononi Mwetu”

Kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia kimezindua kampeni pana yenye kichwa:

Usekula Unawahadaa Watoto Wetu na Wokovu wao uko Mikononi Mwetu”

Programu ya kampeni hii itajumuisha nukta mbili kuu:

Ya kwanza: Elimu ya kisekula ndiyo chimbuko la ugonjwa na chanzo cha kuporomoka kwa maadili nchini.

Ya pili: Uislamu ni tiba kwa Umma na zaidi ya yote kwa vizazi vinavyokua.

Ijumaa, 29 Shawwal 1444 H, sawia na 19 Mei 2023 M

Ili kusoma maandishi ya kipeperushi kilichotolewa na kitengo cha wanawake ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia

Chini ya kichwa:

"Usekula Unawahadaa Watoto wetu na Wokovu wao uko Mikononi Mwetu"

Ijumaa, 29 Shawwal 1444 H sawia na 19 Mei 2023 M

Bonyeza Hapa

- Video Fupi ya Ualishi wa Kampeni -

- Wokovu wa Watoto Wenu ni kwa Kujiokoa kutokana na Usekula -

- Filamu za Katuni ni Sumu ndani ya Asali! -

- Je, Usekula Umewapa Nini kwa Watoto Wetu? -

- Baraem Al-Ummah: Ni Haki Gani za Watoto Mnazodai? -

- Barabara ya Kwenda Shule ni Ndoto Ngumu kwa Watoto Waliotengwa! -

- Video Fupi ya Pili ya Kampeni: Uislamu ni Tiba kwa Umma kwa Jumla na hasa kwa Vizazi! -

Semina ya kuhitimisha kampeni ya “Usekula Unawahadaa Watoto Wetu na Wokovu wao uko Mikononi Mwetu”ambayo iliandaliwa na kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah Tunisia

Jumapili, 15 Dhu al-Qa`adah 1444 H sawia na 04 Juni 2023 M

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Tovuti Rasmi ya Jarida la Al-Rayah

Ukurasa wa Facebook wa Jarida la Al-Rayah

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu