- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:
Tufani ya Twitter “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yaandaa
Tufani ya Twitter kwa Kichwa:
“Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”
Ili kuwanusuru wabebaji ulinganizi wenye ikhlasi wanaonyanyaswa na utawala dhalimu wa Uzbekistan kwa sababu tu wanaswali mchana na usiku ili kutimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu na bishara njema ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) kwa kurudisha maisha kamili ya Kiislamu kupitia kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.
Basi kuweni pamoja nasi na mushiriki malipo, na Mwenyezi Mungu Mtukufu atatunusuru, hata kama ni baada ya muda.
Jumamosi, 21 Muharram Tukufu 1446 H sawia na 27 Julai 2024 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/afisi-kuu-ya-habari/4115.html#sigProIdb75c795753
Twiti zilizopendekezwa kutumiwa wakati wa Tufani ya Twitter
Zuru Ukurasa wa Kampeni kwa Lugha Tofauti Tofauti
Alama Ishara za Kampeni
#صرخة_من_أوزبيكستان
#Özbekistan_dan_haykırış
#PleaFromUzbekistan
#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД