Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Kongamano la Kimataifa “Mwaka Mmoja Umepita Enyi Majeshi!”

Mwaka mmoja umepita tangu Kimbunga cha Gaza, ambacho kimetikisa misingi ya hadhara ya Magharibi na kuponda ponda simulizi ya jeshi lisiloweza kushindwa. Mwaka mmoja wa uchinjaji na mauaji ya halaiki ya watu wa Gaza yametekelezwa na nchi za Magharibi zenye chuki na zingali zinaendelea kutekeleza kwa kulitumia umbile nyakuzi. Mwaka mzima wa kula njama na kufanya biashara ya umwagaji damu ambayo watawala wa Waislamu wamegeuka kuwa waovu, na kuwaongezea fedheha. Mwaka wa kimya cha kutia shaka kilichotanda juu ya vichwa vya askari na maafisa wa majeshi ya Waislamu miongoni mwa watoto wa Waislamu, huku wakitazama mauaji, uharibifu, na uhamishaji, lakini hawakufanya lolote kuhusu hilo.

“Mwaka Mmoja Umepita, Enyi Majeshi.”

Ndicho kichwa cha kongamano hilo lililofanywa na chaneli ya Al-Waqiya TV pamoja na kundi la wabebaji Dawah.

Alhamisi 07 Rabi’ ul-Akhir 1446 H sawia na 10 Oktoba 2024 M

[Programu ya Kongamano]

00:00 Utangulizi wa Kongamano

03:29 Mchakato wa kufanya Biashara na Kadhia ya Palestina ||

Hotuba ya Ustadh Ahmad Al-Qasas

16:21 Maslahi ya Magharibi na Ushawishi wao katika Vita vya Gaza ||

Hotuba ya Ustadh Muhammad Malkawi

27:00 Mwaka Mmoja tangu Kimbunga cha Al-Aqsa... Je, Tumeishi kulingana na Muhanga wenu?|| Uingiliaji kati na Ustadh Muhammad Al-Manis

30:15 Nusra ya Majeshi kati ya Uhalali, Uhalisia, na Kukosa Budi || Hotuba ya Ustadh Yusuf Abu Zar

43:15 Waislamu kati ya Huruma na Hatua zenye Natija || Hotuba ya Mhandisi Salah Eddine Adada

55:09 Hitimisho

- Tazama Video Kamili ya Amali ya Kongamano la Kimataifa -

­- Video Kamili za Hotuba za Kongamano la Kimataifa -

Mchakato wa kufanya Biashara na Kadhia ya Palestina

Imewasilishwa na: Ustadh Ahmad Al-Qasas (Abu Hamza)

Maslahi ya Magharibi na Ushawishi wao katika Vita vya Gaza

Imewasilishwa na: Dkt. Muhammad Malkawi (Abu Talha)

Nusra ya Majeshi kati ya Uhalali, Uhalisia, na Kukosa Budi

Imewasilishwa na: Ustadh Yusuf Abu Zar

Waislamu kati ya Huruma na Hatua zenye Natija

Imewasilishwa na: Mhandisi Salah Eddine Adada

- Alama Ishara za Kampeni -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu