Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV: Mfululizo

Kuwa Imara juu ya Ukweli…Kufuata Njia

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu kuashiria ukumbusho wa 99 wa Kuangushwa kwa Khilafah, Rajab 1441 H sawia na 2020 M, katika tukio hili, Afisi kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi wetu na wanaozuru tovuti ya Afisi kuu ya Habari mfululizo wa video kutoka Runinga ya Al-Waqiyah zilopewa kichwa cha, Kuwa Imara juu ya Ukweli…Kufuata Njia

Runinga ya Al-Waqiyah ilifanya mahojiano mbali mbali na wazee kutoka kwa Mashabab wa Hizb ut Tahrir kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo walisisitiza kwamba wao wako imara juu ya ukweli, haijalishi uzito wa majanga, na kwamba wako njiani, haijalishi urefu wa barabara, lengo lao liko wazi na njia wanayotumia imekamilika… Wamejifunga na uongozi wa Hizb ut Tahrir wakimuombea Amiri wake, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, kwa ushindi na uthabiti, wakimuomba Mwenyezi Mungu atuharakishie kusimamishwa tena Dola ya Khilafah ya Uongofu ya pili kwa njia ya Utume, ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt) na bishara ya Mtume (saw). Hakika Mwenyezi Mungu ni muweza juu ya hayo. Endelea kufuatilia…

- Mzunguko wa Kumi na Moja wa Mahojiano -

Jumamosi, 25 Rajab Muharram 1441 H sawia na 21 Machi 2020 M

Haj Yacoub Hanini (Abu Marwan)

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

Haj Abdel Sattar Hassan (Abu Khalil)

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Lebanon

Ustadh Abdulrahman Hassan Taha

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Sudan

Sheikh Hussain Nasr

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Yemen

Sheikh Salim Dandeis

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

- Mzunguko wa Kumi wa Mahojiano -

Ijumaa, 25 Rajab Muharram 1441 H sawia na 20 Machi 2020 M

Haj Adnan Badar

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

Ustadh Muhammad Habib Hijaji

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Tunisia

Ustadh Omar Salim Abdullah

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Yemen

Ustadh Muhideen Wadidi

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Sudan

Haj Abdel Raouf Qunaibi

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

- Mzunguko wa Tisa wa Mahojiano -

Alhamisi, 24 Rajab Muharram 1441 H sawia na 19 Machi 2020 M

Haj Adnan Daour

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

Sheikh Ahmad Hussein
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Sudan

Haj Hatim Sharbati

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

- Mzunguko wa Nane wa Mahojiano -

Jumatano, 23 Rajab Muharram 1441 H sawia na 18 Machi 2020 M

Haj Abu Muhammad Al Azunie

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

Sheikh Omar Bashir Ahmad
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Sudan

Haj Hatim Nasr Deen

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

- Mzunguko wa Saba wa Mahojiano -

Jumanne, 22 Rajab Muharram 1441 H sawia na 17 Machi 2020 M

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir Wilayah Sudan

Haj Yacoub al-Jabari (Abu Mamdouh)

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

- Mzunguko wa Sita wa Mahojiano -

Jumatatu, 21 Rajab Muharram 1441 H sawia na 16 Machi 2020 M

Ustadh Ali Hassan
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

Ustadh Mustafa Faraj (Abu Anas)
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Jordan

- Mzunguko wa Tano wa Mahojiano -

Jumapili, 20 Rajab Muharram 1441 H sawia na 15 Machi 2020 M

Hajj Abdullah Omar
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

Ustadh Salim Abu Sebatein
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Jordan

- Mzunguko wa Nne wa Mahojiano -

Jumamosi, 19 Rajab Muharram 1441 H sawia na 14 Machi 2020 M

Ustadh Hussiam Qazuh
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu - Palestina

Ustadh Bilal Al-Qasrawi (Abu Ibrahim)

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Jordan

- Mzunguko wa Tatu wa Mahojiano -
Ijumaa, 18 Rajab Muharram 1441 H sawia na 13 Machi 2020 M

Sheikh Khalil Adam
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Sudan

Haj Taher Ja'baa
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu – Palestina

- Mzunguko wa Pili wa Mahojiano -
Alhamisi, 17 Rajab Muharram 1441 H sawia na 12 Machi 2020 M

Ustaadh Hassan Abdel Hafez
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu – Palestina

Ustaadh Majed Al-Aneed (Abu Abdullah)
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Jordan

- Mzunguko wa Pili wa Mahojiano -
Alhamisi, 17 Rajab Muharram 1441 H sawia na 12 Machi 2020 M

Hajj Khalid Ahmaru (Abu Fayez)
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu – Palestina

Ustaadh Ali Smadi (Abu Marwan)
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Jordan

Sheikh Izideen
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Sudan

#TurudisheniKhilafah      #ReturnTheKhilafah        أقيموا_الخلافة#                  #YenidenHilafet 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 24 Machi 2020 09:47

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu