- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Marekani:
Ubalozi wa China umekataa kuupokea ujumbe wa Hizb ut Tahrir!
Katika kuitikia maelekezo ya mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al- Rashtah, Amiri wa Hizb ut Tahrir, ujumbe wa Hizb ut Tahrir ulitembelea Ubalozi wa China jijini Brussels kukabidhi taarifa kwa vyombo vya habari iliyo tolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa anwani: “Khilafah ItakomboaTurkestan Mashariki Na kuwanusuru Uyghur kutoka kwa Ukandamizaji wa Kihalifu wa Uchina” Hata hivyo ubalozi wa China ulikataa kuukaribisha ujumbe huo au kupokea taarifa kwa vyombo vya habari ikisisitizia udhalimu na uadui wao. Lakini wao wanapanga na Mwenyezi Mungu naye anapanga, na Mwenyezi Mungu ndiye Mbora wa wapangaji.
Ijumaa, 29 Rajab Muharram 1440 H sawia na 05 Aprili 2019 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/amerika/879.html#sigProId61ae2f7f2a