- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Dagestan
Amali Zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kulimwengu,
“Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!”
Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hvijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:
«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»
“Mtaifungua Konstantinopoli, Amiri wake ni Amiri bora, na Jeshi lake litakuwa jeshi Bora.”
Hizb ut Tahrir / Dagestan ili toa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa zote zinastahiki Mwenyezi Mungu (swt).
Ijumaa 15, Jumada al –Awwal 1441 H - Januari 10, 2020 M
Kauli ya Haj Murad
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Dagestan
Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli
Jumatano 20, Jumada al-Awwal 1441 H - 15 Januari, 2020 M
Mada na Haj Murad
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Dagestan
Kuanza kwa kumbukizi ya Ukombozi wa Kostantinopoli
Ili kupata habari zaidi, tafadhali zuru tovuti za Hizb ut Tahrir/Dagestan:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir/ Dagestan
Ukurasa wa wa Facebook Hizb ut Tahrir/ Dagestan
Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir/ Dagestan
|
Alama Ishara za Kampeni | |
#فتح_القسطنطينية | |||
#القسطنطينية | |||
#İstanbulunFethi |
|||
#istanbul |
#ConquestofIstanbul | |||
#Constantinople |