Jumatatu, 13 Dhu al-Hijjah 1446 | 2025/06/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Denmark:

Kisimamo jijini Copenhagen cha Kuinusuru Gaza yenye Izza!

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 19, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya elfu 185 hadi sasa, Hizb ut Tahrir/Denmark iliandaa kisimamo jijini Copenhagen cha kuwanusuru watu wetu mjini Gaza, na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake. Ustadh Mundhir Abdullah alitoa kalima kwa hadhira yenye kichwa “Mtaulizwa kuhusu Usaliti huu!”

Jumatano, 23 Dhu al-Qidah 1446 H sawia na 21 Mei 2025 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#Aqsa_calls_armies

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo Zaidi, Tafadhali zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Denmark

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Denmark

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu