- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon
Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah
Kutoka ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon dhidi ya ukopaji kutoka Mfuko wa Fedha wa Kimataifa katika mwezi mtukufu wa Rajab mwaka huu wa 1443 H, sanjari na mnasaba wa miaka 101 H ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.
Ijumaa, 10 Rajab Tukufu 1443 H - 11 Februari 2022 M
Ili Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa na
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon
Kwa Anwani:
"Kampeni ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon dhidi ya Ukopaji kutoka kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa"
Jumatano, 15 Rajab Tukufu 1443 H - 16 Februari 2022 M
Bonyeza Hapa
Sehemu ya Kampeni ya Mabango dhidi ya Ukopaji kutoka kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/lebanon/2166.html#sigProId47417392b7
Alama Ishara za Kampeni
#أقيموا_الخلافة
#الخلافة_101
ReturnTheKhilafah#
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon
Ukurasa wa Facebook wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon