Jumapili, 22 Shawwal 1446 | 2025/04/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:

Maandamano ya Tripoli: “Damu ya Gaza ni Damu Yetu, Enyi Majeshi ya Umma!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 18, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa na kupotezwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya elfu 170 hadi sasa, Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon iliandaa maandamano ambayo yalizunguka mitaa ya Tripoli, Syria, chini ya kichwa:

“Damu ya Gaza ni Damu Yetu, Enyi Majeshi ya Umma!”

Washiriki walitoa wito kwa majeshi ya Waislamu kusonga mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuusafisha Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wauaji na wahalifu.

Ijumaa, 13 Shawwal 1446 H, sawia na 11 Aprili 2025 M

- Alama Ishara za Kampeni na Kongamano la Kila Mwaka - 

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

- Kwa Mengi Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:

Akaunti Rasmi ya X Ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Akaunti Rasmi ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Akaunti Rasmi ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu