Pakistan: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pakistan: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Pakistan: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Kampeni, "Khilafah Inakomboa Kashmir"
Angalizi la Vyombo vya Habari, video na mahojiano kuhusu kazi ya kiulimwengu ya Hizb ut Tahrir.
Tafadhali unga mkono #FreeNaveedButt Kimbunga cha Twitter mnamo 26/12/2020
Wilayah ya Pakistan: Naveed Butt "Uislamu Unakataa Utabikishaji Kidogo Kidogo!"
Katika wakati ambao Waislamu wa Pakistan wanauelekea Uislamu kama njia ya maisha, na kwa ajili ya kunyanyua kiwango cha utambuzi wa jambo la nidhamu ya Khilafah, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imezindua kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa kampeni ya hotuba ya hadhara na maandamano yanayolingania kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume, ambayo itazuia kumkashifu mara kwa mara Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu msimamo wa khiyana wa viongozi wa Waislamu katika upande wa umbile vamizi la Kiyahudi.
Baada ya jarida la vichekesho la Kifaransa la Charlie Hebdo, kurudia tena kuchapisha michoro ya vikaragosi vya kumtusi Mtume Muhammad (saw) kabla ya kesi ya mshtakiwa kwa shambulizi la makao yake makuu mnamo 2015,
Hizb ut Tahrir / Wilaya Pakistan: Ushuhuda wa Yusufzai Kuhusu Naveed Butt!