Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Ushuhuda wa Mhandisi Arsalan kuhusu Naveed Butt
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ushuhuda wa Mhandisi Arsalan kuhusu Naveed Butt
Ushuhuda wa Mhandisi Arsalan kuhusu Naveed Butt
Japokuwa chini ya Ubepari, Pakistan ina uzito mdogo sana kiulimwengu kuliko vidola vidogo vyenye maliasili kidogo, kiasili imebarikiwa na Mwenyezi Mungu (swt) kwa rasilimali za nishati na Madini ya kutosha.
Baada ya uunganishaji kwa nguvu wa India wa Kashmir mnamo Alhamisi, 19 Agosti 2019 M, Waislamu Kashmir wanakabiliwa na ukandamizwaji wa kikatili kutoka kwa dola ya kibaniani.
Bila kuangalia, Modi, Raja Dahir wa enzi zetu, angeendelea na kutokujali kumwaga damu takatifu ya mama, dada, kaka na watoto wetu.
Kwa kuizamisha Pakistan ndani ya Deni Lenye Misingi ya Riba, Serikali ya PTI Inawanyima Masikini, ili Kudhamini Faida kwa Wawekeza wa Ndani na wa Kigeni kama vile ilivyo kuwa serikali za kifisadi zilizotangulia, serikali ya PTI imeizamisha Pakistan katika Deni lenye msingi wa Riba, ikiwanyang’anya masikini haki yao kutoka katika Hazina ya Dola.
Wacha Silaha Zetu za Nyuklia ziwe Nyenzo za Kulinda Bara yetu wakati Simba wa vikosi vya Majeshi yetu Wakiikomboa Kashmir iliyo kaliwa
Ama kuhusu kutoa pesa za kutosha kukabili milipuko kama hii, Uislamu umeuzidi sana Urasilimali, mfumo uliopo kwa sasa ulioundwa na mwanadamu ambao unatawala ulimwengu.
Hizb ut Tahrir / Wilaya Pakistan ya andaa kampeni pana ya mtandaoni ya kutaka kuachiliwa huru kwa Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan.
Hizb ut Tahrir / Wilaya Pakistan: Ushuhuda wa Musab Umair Kuhusu Naveed Butt!
Mnamo tarehe 11 Mei 2020 M, ilisadifu kuwa ni kumbukumbu ya nane ya kutekwa nyara Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, ukamataji wake ulitimia katika korokoro za siri za ukandamizaji za vyombo vya usalama.