- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Wilayah Pakistan: Kisimamo katika Jiji la Karachi cha Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Al-Mubarak!
Chini ya mazingira ya kambi katika ardhi iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambuliozi ya mara kwa mara yanayofanywa na umbile la Kiyahudi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na kumiminiwa mabomu ambayo yameendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa maandamano jijini Karachi ili kutoa wito na kutafuta nusra kutoka kwa majeshi ya Kiislamu, miongoni mwao likiwa ni jeshi la Pakistan, kuunusuru na kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa.
Ijumaa, 09 Shawwal 1442 H sawia na 21 Mei 2021 M
- Video ya Amali ya Kisimamo cha Karachi -
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/pakistan/1613.html#sigProIdbd3dd0a317
Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan