- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Wilayah Pakistan: Kampeni "Khilafah Itaikomboa Pakistan Kutokana na Sera Angamivu za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa"
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni pana katika mitandao ya kijamii kwa anwani "Khilafah Itaikomboa Pakistan Kutokana na Sera Angamivu za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa" ili kuirudi bajeti iliyo wasilishwa na watawala wa Pakistan, na itaandaa Tufani ya Twitter ili kufichua sera angamivu zilizoamriwa na Mfuko wa Fedha wa Kimataifa juu ya Pakistan, sera hizi ndizo zinazoizua Pakistan kutofaidika kutokana na uwezo wake wa kihakika.
Ewe Mwenyezi Mungu turudishie ngao yetu, Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume… Allahumma Amin
#IMFEnslavesKhilafahLiberates
Jumamosi, 01 Dhu al-Qa'adah 1442 H sawia na 12 Juni 2021 M
- Khilafah Humaliza Utumwa wa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) -
Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya Pakistan
Jumanne, 18 Dhu al-Qa'adah 1442 H sawia na 29 Juni 2021 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/pakistan/1664.html#sigProIda4c86afbb7