Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Sera ya Usalama wa Kitaifa (NSP) Yaitelekeza Kashmir Iliyokaliwa Kimabavu kwa Modi kwa Kukataa Kuwanusuru Kijeshi Waislamu wa Bonde Hilo!

(Imetafsiriwa)

Waislamu wa Kashmir inayokaliwa kimabavu hawahitaji taarifa rasmi za kawaida za mnamo tarehe 5 Februari 2022, Siku ya Kashmir.

Waislamu wa Kashmir wamekuwa wakihitaji uhamasishaji wa jeshi kuikomboa Srinagar tangu kunyakuliwa kimabavu kwa Kashmir Iliyokaliwa na Modi mnamo tarehe 5 Agosti 2019.

Lakini, Sera ya Usalama ya Kitaifa (NSP) inaifunga ngingingi Pakistan kwa "msaada wa kimaadili, kidiplomasia, kisiasa na kisheria pekee kwa watu wa Kashmir."

Ni kwa kupitia kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume pekee, ndipo tutakapofurahia wakati vikosi vyetu vikitoa ushindi wa kishindo kwa Umma wa Kiislamu, chini ya uongozi wa Khalifah Muongofu na kuikomboa Kashmir Iliyokaliwa kwa mabavu kutoka kwenye makucha ya Washirikina wa Kibaniani.

Mwenyezi Mungu (swt) amesema:

[قَاتِلُوهُمْ يُعَذِّبْهُمُ اللَّهُ بِأَيْدِيكُمْ وَيُخْزِهِمْ وَيَنْصُرْكُمْ عَلَيْهِمْ وَيَشْفِ صُدُورَ قَوْمٍ مُؤْمِنِينَ]

“Piganeni nao, Mwenyezi Mungu awaadhibu kwa mikono yenu, na awahizi na akunusuruni muwashinde, na avipoze vifua vya kaumu ya Waumini.” [Surah At-Tawbah 9: 14].

#KhilafahLiberatesKashmir

Jumapili, 05 Rajab al-Muharram 1443 H - 06 Februari 2022 M

                     #ReturnTheKhilafah                
             #YenidenHilafet                                                
  #الخلافة_101 #أقيموا_الخلافة                                  

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu