Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah

Kutoka ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan kwa mwito "Wakati wa Khilafah Umewadia" katika mwezi mtukufu wa Rajab wa mwaka huu wa 1443 H mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 H ya kuvunjwa Dola ya Khilafah tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.

Twamuomba Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taa’la aharakishe kusimama kwa Khilafah Rashida kwa njia ya Utume. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya hilo.

Ijumaa,10 Rajab Tukufu 1443 H sawia na 11 Februari 2022 M

#Time4Khilafah

- Sehemu ya Amali ya Hotuba za Hadhara katika Miji Anuwai -

Mashababu wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan waliandaa hotuba za hadhara katika miji mbalimbali ya Pakistan, kwa ajili ya kuwakumbusha Waislamu juu ya kumbukumbu ya mbaya ya kuvunjwa kwa Khilafah mikononi mwa makafiri wa kikoloni wa Magharibi wakiongozwa na Uingereza na Ufaransa, na kwa msaada wa wasaliti kutoka kwa Waarabu na Waturuki. Kwa kuanguka kwa Khilafah, Ummah ulipoteza mengi katika nyanja mbalimbali, kiuchumi, kisiasa, kithaqafa na kijamii... Twamuomba Mwenyezi Mungu (swt) aharakishe kusimama kwa Dola ya Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.

Ijumaa, 17 Rajab Tukufu 1443 H sawia na 18 Februari 2022 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#الخلافة_101

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu