Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah of Pakistan:

Msikiti Uliobarikiwa wa Al-Aqsa Waliita Jeshi la Pakistan!

Kwa ndugu zetu, baba zetu na watoto wetu ndani ya Jeshi la Pakistan:

Ni zaidi ya siku saba zimepita tangu viumbe waoga zaidi kuwashambulia binti zetu, dada zetu na mama zetu nchini Palestina.

Tunajua kuwa muna kiu ya kupigana na vikosi vya Mayahudi waoga, na kwamba, shukrani kwa Mwenyezi Mungu, mnaweza kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa kwa masaa machache tu.

Endapo uongozi utawahamasisha kwa ajili ya jihad, Umma mzima utakuungeni mkono, lakini ikiwa uongozi weni ni kibaraka wa Magharibi, uondoe na muhamasike.

Hamasikeni kutafuta moja ya Mema mawili; Ushindi au Shahada!

Hamasikeni hadi takbira za ushindi zijaze anga ya Msikiti wa Al-Aqsa!

Hamasikeni, Enyi Wana wa Salahudin!

[يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ]

“Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.” [Surah Muhammad 47:7]

Jumatano, 03 Rabi 'Al-Akhir 1445 H - 18 Oktoba 2023 M

- Video ya Kalima -

- Alama Ishara za Amali -

#Al-Aqsa Flood

#Armies_to_the_Aqsa

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdinaryAksaya

#Al-Aqsa_crying_armies

Aqsa_calls_armies#

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu