Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Lazima Tuyatake Majeshi yetu Yasimamishe tena Khilafah na Kuhamasika kwa ajili ya Gaza!

(Imetafsiriwa)

Enyi Waislamu wa Pakistan! Lazima tuyatake majeshi yetu yasimamishe tena Khilafah na kuhamasika kwa ajili ya Gaza. Lazima tumkumbushe kila afisa wa jeshi kwamba tunajua juu ya malipo makubwa yanayongojea shujaa ambaye atatoa nusra yake ya kimada kwa ajili ya kusimamisha tena utawala kwa Uislamu. Lazima tuwakumbushe Saad ibn Muadh (ra), ambaye alimpa Nusra yake Mtume ﷺ ili kupata utawala kwa Uislamu, mjini Al-Madinah al-Munawwarah. Lazima tuwakumbushe juu ya Janazah ya Sa'ad.

Mtume ﷺ alielezea wepesi wa mwili wa Sa’ad katika Janaza yake, akisema,

«ما يمنعه أن يخفَّ وقد هبط من الملائكة كذا وكذا لم يهبطوا قط قبل يومه قد حملوا معكم» Hakuna kitu kilichofanya mwili wake kuwa mwepesi, ila ilikuwa ni idadi kadhaa na kadhaa ya malaika walioshuka na kumbeba pamoja nanyi. Malaika hao walikuwa hawajawahi kushuka mbeleni.” [Imesimuliwa katika Tabaqat, na Ibn Sa'Ad.]. Lazima tuwakumbushe bishara njema ambazo Mtume ﷺ alimpa mama anayeomboleza wa Saad,

«ليرقأ (لينقطع) دمعك، ويذهب حزنك، فإن ابنك أول من ضحك الله له واهتز له العرش» Machozi yako yangepungua na huzuni yako ingepungua ikiwa ungejua kuwa mtoto wako ndiye mtu wa kwanza ambaye Mwenyezi Mungu alitabasamu na kiti chake cha enzi kilitingishika.” [Imesimuliwa katika At-Tabarani].

#خلافت_نیا_عالمی_آرڈر

#Khilafah_New_World_Order

Imetolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Jumapili, 21 Ramadhan 1445 H sawia na 31 Machi 2024 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#إحياء_روح _بدر

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#ReviveBadrSpirit

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu